Picha: Aunty Ezekiel Asherehekea Birthday yake Kimya Kimya

Alhamisi hii ilikuwa ni siku ya kuzaliwa kwa Malkia wa filamu nchini, Aunty Ezekiel ambaye anadaiwa kutimiza miaka 30 lakini kwenye sherehe hiyo imeonekana kuwa ya siri huku akisherehekea na watu wachache aliowaalika.

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Siri my a*s kama ingekuwa ni siri nyinyi watu wa udaku mmeipataje hiyo habari?

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad