Prof. Ndalichako amesema ameyasikia malalamiko kutoka kwa wananchi na anayafanyia kazi na amesema wanafunzi wapewe mikopo semista hii kwa mwaka wa kwanza na wote bila kufuata mean tested.
Amesema lengo la serikali ni kuwapa wote wahitaji. Ameiagiza bodi ya mikopo kuwapa kama mfumo wa zamani na amesema bodi ya mkopo imekosea kuwapa wanafunzi shilingi elfu tano kwa miezi, kama pesa za kujikimu amesema bora kutompa.
JITAHIDI MAMA KUWEKA MAMBO SAWA,KIKUBWA UBAGUZI USIWEPO ,MTOTO WA MWENZIO NI WAKO PIA.
ReplyDelete