Rais Magufuli Amtumbua Mkurugenzi wa Mkinga Baada ya Kumtishia Askari Bastola

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli ametengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mkinga, Emmanuel Mkumbo. Uteuzi wa Mkurugenzi mpya atakayejaza nafasi hiyo utatangazwa hapo baadaye.

Mkurugenzi huyo aliyetumbuliwa kwa sasa anashikiliwa na polisi kwa kosa la kumtishia bastola askari wa kike wa usalama wa barabarani (Traffic). Soma taarifa hii kutoka Ikul
Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ndugu zangu, Madaraka ni Dhamana, Kila mmoja anawajibika kwa nafasi aliyo nayo. Toka mfagia Barar bara mpaka Mh Raisi kila mmoja na majukumu yake na heshima yake. Hapa Kazi Tu.

    ReplyDelete
  2. inasikitisha kuona mtu anahukumiwa kabla ya kupewa nafasi ya kujitetea, je tuna uhakika kabisa kwa kosa hilo lilitendeka, au mtu akisha fikkishwa polisi ndio tayar ametenda kosa?

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad