Rais John Magufuli amesema Serikali haitajenga Gereza la Kitengule Wilaya ya Karagwe mkoani Kagera lililobomoka kwa tetemeko la ardhi, badala yake ameliagiza Jeshi la Magereza liwatumie wafungwa kufanya kazi hiyo.
Alitoa agizo hilo juzi wakati akifunga mazoezi ya kijeshi ambayo kitaalamu yanaitwa ‘amphibious landing’ yaliyofanyika Kijiji cha Baatini, Bagamoyo mkoani Pwani ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 52 ya Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ).
Katika mazoezi hayo ambayo pia yalihudhuriwa na Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein na kushuhudia wanajeshi wakilikomboa eneo lililotekwa na maadui ukanda wa majini, Rais Magufuli alimtaka Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi John Kijazi kutopeleka fedha za maafa kujenga gereza hilo
ReplyDeleteTetemeko likiharibu ikulu na yeye aijenge ikulu
Jino kwa jino
Magereza hayajengwi ovyo
Kuna ulinzi ambao wafungwa hawapaswi kujuwa
Tunaropoka sana awamu ya Tano
Sio kujenga gereza lao tu, wajenge hata madaraja huku wakisimamiwa na makandarasi,wanakula ugali wa bure tu.......
ReplyDeleteNafikiri Ph.D. Ya pombe inatia
ReplyDeleteWasi wasi nimesoma mtandaoni
Fyuu
Bora ya Msoga za kupewa
Anaropoka na kukurupuka bila kufikiri
Ni mtoto mdogo
1959
Watu wazima wanamuogopa kwa lipi
CCM fyuuuuuuuuh