Sakata la Ali Kiba Kushushwa Jukwaani Show ya Mombasa..Mdau Adai ni Kawaida ya Ali Kiba Kulalamika

Jana Sakata la Mwanamuziki Ali Kiba kushushwa Jukwaani kwenye show ya Mombasa ili Chriss Brown apande jukwaani kuimba jana lilichukua sura mpya baada ya Video kutoka Ali Kiba akiongea kuhusu hilo na kusema kuwa anahisi kuhujumiwa hasa baada ya meneja wa Diamond kuonekana akiwa backstage...Ali Kiba amedai haelewi Meneja huyo wa Diamond alikuwa anafanya nini backstage wakati msanii wake hakuwa na show siku hiyo..
Sasa watu mbali mbali wametoa maoni yao embu soma ya huyu alafu uniambie kama kuna ukweli:


Post a Comment

10 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Usiongeee upumbavu kenge wewe okky salam alikuwa anafanya nn back stage...nasema hv kwa hili anguko lenu linakuja wekeanen chuki lakn isifike katika kuharibiana hadi kazi kwa dizain hiyo....ni tabia chafuuu mnooo

    ReplyDelete
    Replies
    1. Fikiria kabla ya kuongea, Sallam ana nguvu gani ya kumzimia mic Ali? msiwe mnasupport tu kila kitu kinachozungumzwa, yeye(kiba)anaujua ukweli ila hataki tu kuongea

      Delete
  2. hofu na akili ya kuwaza kushindana na diamond ishamuathiri kuyu dogo Kiba...jiamini na kazi yako mtoto wa kiume acha kulalamika Salama alikuja kwa yake wala hakukufata ww na alifata taratibu zote kulingana na matakwa ya waandaaji wa show hyo......hao ndo walipaswa kuuliza Salama alifata nini back stage sio wewe usiejua nini kazi yako kama msanii halafu unaishia kulialia tu....mfyuuuuuuuuuuuuuu

    ReplyDelete
  3. Mimba za chuki bado tunazifanyia abortion sasa backstage alifatako nini huyo meneja wa ...................................

    ReplyDelete
  4. Wasanii wetu wanamatatizo sana, kwanini Ally usikubaliane na hali halisi. Sisi wapenzi tunaelewa fika ni nani bora kati yenu Waziri.

    ReplyDelete
  5. Sasa mkitaka kujua jamaa haujielewi msikilizeni meneja wake yani amehelezea vizuri sana tena tofauti na kiba anaeongea utumbo sasa hapo ndo mtajua jamaa anachuki binafsi duh!

    ReplyDelete
  6. Wadau wa hapo juu kidogo mmechemka. Kwa hasira meneja wa Diamond anaitwa Salam sio Salama...

    ReplyDelete
  7. Na huyo Salaam alifuata nini backstage kama sio umbea hata ingekuwa mimi ni Alikiba lazima ningejiuliza kuwa amefuata nini wakati msanii Wake Domo hata hakukaribishwa kwenye hiyo shoo sababu wakenya tunamfagilia sana Ali kiba kuliko Domo sasa huyo Salaam halioni hata aibu kujionyesha pale wakati msanii Wake katendwa hapo kutakuwa na kitu, alienda kwa ajili ya kumuharibia Kiba huo ndio ukweli,Ali kiba hayo uliyasema ni kweli, sisi wakenya tuko upande wako Ali kiba for real. Diamond is ziro

    ReplyDelete
  8. Mjinga sana huyo kiba uso kama tambara la hedhi mfyuuuuuuu mbana pua mshamba wa kariakoo haja wash huyo. Tatizo ujinga ukikuvaa rohoni kuutoa ni taabu Mungu tunusuru na akina nguru wakavu kana hawa kibakuli.

    ReplyDelete
  9. Enter your comment...we mkenya mxyuu sallam ni meneja wa wengi c dai pekee yk

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad