Imefichuka kuwa mama Diamond alitoka na Muarabu na kuzaa mtoto wa kike ambaye sasa ni mkubwa ambaye anajulikana kwa jina la Esma
Mtoto huyo amesema kuwa huwa hapendi kufahamika ndio maana anajitahidi kuweka 'low profile'.
Mtazame Hapa mtoto huyo ambae ni Nusu Mwarabu nusu Mwafrika:
Mbona muko hivo jamani wacheni umbeya munachosha hivo mbona hio interview ni siku nyingi kama sijakose mwaka juzi au zaidi nyie kweli hamna kazi ya kufanya muacheni mama wa watu na fuateni yenu badilikeni
ReplyDeleteSijauona huo waraabu wake
ReplyDeleteBongo kuna wasililanca weusi ti
Nao ndo walikuwa wateja wetu
Margot bi Sandra
Mwarabu nywele kipilipili
Halo
Ukoo una laana huu
ReplyDeleteKaka yako mama mmoja umwite mswahili we u mwarabu koko
Watoto wa haram utawajuwa tu
Kuropoka bila hata kufikiri
The impact of the speech
Fyuu
Shule
Mshukuru mungu kawapa lotto
Tafuteni watu wawafundisheni kuongea kwenye media
Mwarabu havai wigi
Na yule DJ was book hisaji.mbona anamtembeleaga bokoo..
ReplyDelete????????????????????????????????
DeleteHilo sio jambo cha ajabu. Au umekereka tu kwasababu kazaa na mwarabu na ni aibu kusema baba yake ni mwarabu na pia yeye hajataja kuwa wengine ni waswahili. Mswahili si kabia nalo neon hilo asili yake ni la kiarabu "saahil" maana yake kando ya bahari na wanaokaa kando ya bari huitwa mswahili, ikiwa mwarabu, mhindi na hata mzungu. warabu walipofika waliishi sehemu za pawani maana yake saahil
ReplyDelete