Dada wa Diamond Esma Platnumz Adai Baba yake ni Mwarabu

Imefichuka kuwa mama Diamond alitoka na Muarabu na kuzaa mtoto wa kike ambaye sasa ni mkubwa ambaye anajulikana kwa jina la Esma 
Mtoto huyo amesema kuwa huwa hapendi kufahamika ndio maana anajitahidi kuweka 'low profile'.

Mtazame Hapa mtoto huyo ambae ni Nusu Mwarabu nusu Mwafrika:

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mbona muko hivo jamani wacheni umbeya munachosha hivo mbona hio interview ni siku nyingi kama sijakose mwaka juzi au zaidi nyie kweli hamna kazi ya kufanya muacheni mama wa watu na fuateni yenu badilikeni

    ReplyDelete
  2. Sijauona huo waraabu wake
    Bongo kuna wasililanca weusi ti
    Nao ndo walikuwa wateja wetu
    Margot bi Sandra
    Mwarabu nywele kipilipili
    Halo

    ReplyDelete
  3. Ukoo una laana huu
    Kaka yako mama mmoja umwite mswahili we u mwarabu koko
    Watoto wa haram utawajuwa tu
    Kuropoka bila hata kufikiri
    The impact of the speech
    Fyuu
    Shule
    Mshukuru mungu kawapa lotto
    Tafuteni watu wawafundisheni kuongea kwenye media
    Mwarabu havai wigi

    ReplyDelete
  4. Na yule DJ was book hisaji.mbona anamtembeleaga bokoo..

    ReplyDelete
    Replies
    1. ????????????????????????????????

      Delete
  5. Hilo sio jambo cha ajabu. Au umekereka tu kwasababu kazaa na mwarabu na ni aibu kusema baba yake ni mwarabu na pia yeye hajataja kuwa wengine ni waswahili. Mswahili si kabia nalo neon hilo asili yake ni la kiarabu "saahil" maana yake kando ya bahari na wanaokaa kando ya bari huitwa mswahili, ikiwa mwarabu, mhindi na hata mzungu. warabu walipofika waliishi sehemu za pawani maana yake saahil

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad