Soudy Brown na Wenzake Wamchambua Wolper Kama Karanga...Wampe Vidonge Vyake Baada ya Kuwaponda

Siku ya Jumamosi ya tarehe 15/10/2016 haikuwa nzuri hata kidogo kwa Msanii wa Filamu hapa nchini Jackline Wolper kwa kupokea Mchambo kutoka kwa Chama cha wa mbea Duniani (SHILAWADU) kupitia kituo cha Televishen chaCLOUDS TV.
Katika Kipindi hicho ambacho kinatangazwa na watangazaji machachari Soudy Brown na Qwhisar Thomson, walionyesha kukerwa na Video iliyosambaa mtandaoni ya Wolper ikimuonyesha kutoa povu baada ya watangazaji hao kumlinganisha Mpenzi wake Harmonize na Rayvanny katika kazi zao za muziki.

Video hiyo ilisikika sauti ya Wolper ikitoa matusi na sio matusi tu na kauli za kejeli kwa watangazaji hao, Hapo ndipo moto ulipowaka na kama uwajuavyoSHILAWADU huwa hawashindwi. Wakaanza kumchambua kama Karanga WOLPER.

 Tazama Video:

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad