Tahadhari Kwa Wadada Mnaopenda Kuvaa Shanga Kiunoni...

Bwana Yesu asifiwe!!!

Wanawake wengi wanapenda kuvaa shanga kiunoni wakiamini zinawavutia wanaume wengi katika mapenzi.

Napenda kutoa tahadhali kwa wanaopenda kuzivaa hasa kiunoni kuwa asilimia 80% ya shanga zinazouzwa zikiwa zimeshasokotwa zinatengenezwa na waganga WA kienyeji au watu ambao ni mawakala WA shetani na kuzinuizia mapepo kwa malengo yafuatayo:


Kuharibu au kuiba nyota za watu
Kuwafunga wanawake uzazi
Kuwaunganisha na mtandao WA kuzimu
Kuvuruga mfumo WA hedhi WA wanawake
Kuwafanya wanawake kuwa makahaba, kwa sbb unatamani kukutana na wanaume wengi ili wakujue km unavaa shanga na unazitumia
Kuwafunga kimafanikio
Kuwafanya wasidumu kwny ndoa wanapoolewa.
Kuwafanya wafikirie ngono zaidi.


Sasa unaweza usinunue kwa mganga lakn aliyetengeneza ni mganga au agent WA shetani.

Ww unaweza kununua kwa MTU na ukamwona WA kawaida, au yeye anaeuza yamkini hajui lakn alyetengeneza alikuwa na kusudi.

Unahitaji kuwa makini sana Dada zangu na vitu vinavyovaliwa sirini.

Ni unaponunua ukazikomboa kwa damu ya Yesu ili kufuta Yale maagano na manuizo yalyoambatanishwa nayo.

Nami ninazikomboa kwa mamlaka ya Jina la Yesu kwa yeyote mwenye nazo nafuta manuizo yote kwa Damu ya Yesu, km unazo TYPE AMEN.

By Illovo

Tags

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ushaidi please

    ReplyDelete
  2. Naona kama hoja yako ina mashiko japo zijafanya utafiti zaidi, lakini kwa kuangalia utaona wanawake walio wengi wanaovaa shanga uwa kama wana kweli pepoza ngono, na hata baadhi ya makabila yetu yapendayo kuvaa shanga kutokana na mila na tamaduni zao uwa uwaishi kwenye ndoa kwani wengine uwa wanaambiwa wazi kuwa na mafiga matatu, yaani wanaum watatu kwani mmoja hata aw rijali vipi hawzi kumtoshereza mwanamke huyo. Na pia hata kuishi kwao kwenye ndoa ni shida sana uwa hawafiki mwisho, uishiia kuwa na vyuo zaidi ya kimoja wengine hadi vyuo tisa, maana yake kaachika na kuolewa na wanaume tisa. Hii inahitaji utafiti na uenda tukapata jambo la kuushauri umma wa watanzania.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Naona kama vile watu mmekua na mawazo ya kishirikina. Lakini shanga za kiunoni kwa mwanamke huwa zina maana tofauti na watu wanavyoamini. Kuna wanawake wengi hasa wamjini huwa wanaiga tu lakini maana halisi hawaifahamu. Kwa ufupi shanga huwa zinatolewa kwa mafunzo maalum (UNYAGO) kwa wasichana waliovunja ungo ama msichana anapokaribia kuolewa, huwa wanafundishwa jinsi ya kumridhisha mwanaume kitandani. Kuna idadi ya shanga na rangi kulingana na kufaulu kwa msichana katika mafunzo hayo. Zamani ukiona rangi ama idadi ya shanga unajua msichana huyo anaujuzi gani kitandani. Lakini sasa hivi watu wanaiga bila kujua maana ili mradi waonekane na shanga kiunoni ndio maana utakuta wanatembea na idadi kubwa ya wanaume ili waonyeshe shanga zao lakini si maana halisi. Na wengi sasa hivi wenye shanga kiunoni hawajui lolote kitandani.

      Delete
  3. huo ni mtizamo wako tu. si halisi ulichoandika ila kwa kuwa umezikomboa hapo kidogo nimekuelewa, kiukweli chochote unachonunua unatakiwa kukitaka basi , kikishatakaswa kitakuwa hakina madhara tena kwa mvaaji.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad