TAZAMA Hapa Video Ali Kiba Akimungunya Kingereza Katika Interview Huku Afrika Kusini..Wadau Wadai Angeoa Kiswahili
7Udaku SpecialOctober 22, 2016
TAZAMA Hapa Video Ali Kiba Akimungunya Kingereza Katika Interview Huku Afrika Kusini, Video Siku ya leo imekuwa Gumzo huko mitandaoni hasa Instagram, baadhi ya watu wanadai angeongea kiswahili tu..
Nashindwa kuwaelewa Wa Tanzania wanao wasema wenza hawajui Lugha....jiulize luga yako ya Taifa nini??? Wapo watu wamemaliza Chuo kikuu na kuongea Fluent English hawezi maana sio lugha yetu na hatu practice....Huyo aliyeleta madaa hii hata yeye hajui kuongea kingereza kwanza Sham on U...Ndio maana tupo nyuma kwa kila kitu...Team za kipumbavu badala ya maendeleo majungu tu ndio maana hata Tuzo mmezikosa....
Huu ni ushauri wangu kwa Ali kiba, kajifunze kizungu, pia uache kuweka you know , you know that doesn't make sense, then huwezi kusema young generation na young people at the same time ndo maana walikuwa wanakucheka, pia ulikuwa unaongelea ww ni staa na unafanya music mzuri majibu hayakuwa yanaendana na swali so jaribu kuwa more professional and not more with full of BS. Mm ni mtanzania na nipo marekani I know English I can teach you for free
Wabongo kiingerea kinatugonga sana, lakini afadhali Diamond na Kiba wamejitahidi kujifunza lugha hiyo na kuiongea ili wawe wa kimataifa. Kiba amejitahidi sana hapa ingawa kuna wataokaoponda, ila kaongea vizuri tu. Kusita kwa mtililiko wa maneno na makosa amdogomadogo ya grammar pamoja na lafudhi ya kiswahili ni vitu vidogo sana katika mawasiliano.
Wakati nyie mnasuburi aongee kingereza wenzenu anapiga hela hamna akili jivunie lugha yako watanzania watu wa ajabu sana wanaona tu akiongea kingereza ndiyo maisha kayapatia ujinga tu
Daaaaaah! Afadhali angeongea swah manake kimombo kinampgiga, halafu isitoshe mwenyewe hajishtukii,
ReplyDeleteWabongo bwana sasa wewe uliyecomment nn hujakielewa hapo juu alichokiongea alikiba. hizi team ni shedah sana.
ReplyDeleteNashindwa kuwaelewa Wa Tanzania wanao wasema wenza hawajui Lugha....jiulize luga yako ya Taifa nini??? Wapo watu wamemaliza Chuo kikuu na kuongea Fluent English hawezi maana sio lugha yetu na hatu practice....Huyo aliyeleta madaa hii hata yeye hajui kuongea kingereza kwanza Sham on U...Ndio maana tupo nyuma kwa kila kitu...Team za kipumbavu badala ya maendeleo majungu tu ndio maana hata Tuzo mmezikosa....
ReplyDeleteHuu ni ushauri wangu kwa Ali kiba, kajifunze kizungu, pia uache kuweka you know , you know that doesn't make sense, then huwezi kusema young generation na young people at the same time ndo maana walikuwa wanakucheka, pia ulikuwa unaongelea ww ni staa na unafanya music mzuri majibu hayakuwa yanaendana na swali so jaribu kuwa more professional and not more with full of BS. Mm ni mtanzania na nipo marekani I know English I can teach you for free
ReplyDeleteWabongo kiingerea kinatugonga sana, lakini afadhali Diamond na Kiba wamejitahidi kujifunza lugha hiyo na kuiongea ili wawe wa kimataifa. Kiba amejitahidi sana hapa ingawa kuna wataokaoponda, ila kaongea vizuri tu. Kusita kwa mtililiko wa maneno na makosa amdogomadogo ya grammar pamoja na lafudhi ya kiswahili ni vitu vidogo sana katika mawasiliano.
ReplyDeleteWakati nyie mnasuburi aongee kingereza wenzenu anapiga hela hamna akili jivunie lugha yako watanzania watu wa ajabu sana wanaona tu akiongea kingereza ndiyo maisha kayapatia ujinga tu
ReplyDeleteBORA HAWA WASANII WASIOJUA LUGHA YA KINGEREZA WANGEAJIRI SPOKE PERSON WAKO.KULIKO KUTIANA AIBU
ReplyDelete