U Heard: Picha za Mpenzi Mpya wa Baraka The Prince Zimevuja Mitandaoni

Hit maker wa mdundo wa Nisamehe Baraka the Prince ambaye ni mpenzi wa mrembo kutoka Bongoflevani Naj, leo kwenye U Heard ya Soudy Brown ya Clouds FM ameingia kwenye headlines baada ya kubainika kuvuja kwa picha za msichana anayedaiwa kuwa ni mpenzi wake mpya kwenye mitandao ya kijamii

‘Mimi na baraka tumeshamalizana na jana tulienda Polisi yameshaisha alafu ukiniambia kuwa eti Naj atanipiga kwani yeye ni nani au kisa amenizidi weupe na Nywele ndefu, alafu naniamekwambia mahusiano yangu na Baraka yamevunjika‘ Betty 
‘Unajua hizo video zinaoendelea kwenye mitandao ya kijamii na ni tulikuwa location tunashoot nyimbo ya msanii mpya anaitwa Brian na wala mimi sijampeleka mtu Polisi‘ Baraka the Prince

Kuisikiliza U Heard ya October 28 2016 bonyeza Play Hapa chini..

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad