Utalipenda jibu la Martin Kadinda baada ya kuulizwa na shabiki kama Wema anatumia Madawa ya kulevya

Wiki hii kumekuwa na tetesi ambazo zinasambaa kwa kasi katika mitandao ya kijamii zikidai kwamba malkia wa filamu, Wema Sepetu anatumia Madawa ya kulevya ‘Unga’.

Tetesisi hiyo ambazo sio nzuri kwa mwigizaji huyo pamoja na watu wake wakaribu, zimeonyesha pia kuwagusa baadhi ya mashabiki wa mwigizaji huyo ambapo wanalazimika kutafuta ukweli wa tetesi hizo kwa namna yoyote.

Mmoja kati ya mashabiki wa malkia huyo kupitia mtandao wa instagram, aliamua kumuuliza meneja wa Wema Sepetu, Martin Kadinda kuhusu tuhuma hizo.

Pia rafiki wa karibu wa malkia huyo wa filamu aitwae Muna, kupitia mtandao wa Global Publisher amekanusha kumwingiza shosti wake Wema Sepetu kwenye matumizi ya Madawa ya kulevya kwa kusema madai hayo hayana ukweli.

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. lisemwalo lipo, kama halipo basi laja;

    ReplyDelete
  2. Kwa vituko vyake si yeye tu hata mama yake wote wanatumia

    ReplyDelete
    Replies
    1. hahahahahaha nimekupenda bure

      Delete
  3. wape za ukweli hao Kadinda umewapatia sana maana wabongo kwa umbea ndiyo zao, kwani hata kama Wema akitumia madawa wao inawahusu nini? kwani wanamnunulia? Wamuache Wema aishi maisha yake kwani Wema ni mtu mzima si wakupangiwa na mtu jinsi atakavyoishi maisha yake.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mdau, mbona unanishtua!! hili ni la kukemewa kama lipo ni bora Tumnusuru mtoto wetu kabla hajafikia stage ye Ray C. Tuungane sote kulikemea hili na kulifupisha na kama linaukweli basi atueleweshe wapi na nani anampatia ili vyombo vya Dola viwatie nguvuni hawa waharibifu.. Tusipoteze taifa la uzalishaji kwa wachache hawa ambao ni waharibifu.. Wema anahitaji mume na awekwe ndani ili ayanusuru Maisha yake na ya wakaribu yake ambao ni mimi na wewe...Ulinzi wa Jamii ni wajibu wa Kila MTANZANIA. Tuwe na Roho za KIZALENDO akiharibikiwa mwenzako ndiyo umeharibikiwa wewe.. Mungu atupe Imani na Mshikamano katika Jamii...

      Delete
    2. Mdau, mbona unanishtua!! hili ni la kukemewa kama lipo ni bora Tumnusuru mtoto wetu kabla hajafikia stage ye Ray C. Tuungane sote kulikemea hili na kulifupisha na kama linaukweli basi atueleweshe wapi na nani anampatia ili vyombo vya Dola viwatie nguvuni hawa waharibifu.. Tusipoteze taifa la uzalishaji kwa wachache hawa ambao ni waharibifu.. Wema anahitaji mume na awekwe ndani ili ayanusuru Maisha yake na ya wakaribu yake ambao ni mimi na wewe...Ulinzi wa Jamii ni wajibu wa Kila MTANZANIA. Tuwe na Roho za KIZALENDO akiharibikiwa mwenzako ndiyo umeharibikiwa wewe.. Mungu atupe Imani na Mshikamano katika Jamii...

      Delete

Top Post Ad

Below Post Ad