Vanessa Mdee Afichua Sababu za Ali Kiba Kuzimiwa Mic Mombasa

Vanessa mdee ambaye pia ali pafomu Mombassa ametaja sababu iliyosababisha Ali Kiba kuzimiwa mic ni kuwa Chris Brown aliingia akiwa hana mood nzuri, kwa hivyo ili kumfurahisha wale waandaji ikabidi wakatishe shoo ya Ali Kiba wampe muda wa kupanda jukwaani atakapojisikia yeye

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Sasa nyie vijana wetu (Ali, D, S nk.) mnagombana nini wakati Chris B anajulikana kwa ujeuri wake? Ali Kiba nawe saa ingine uko so insecure inatupia lawama pasipohusika. Mnawapa faida wauza magazeti tu wakati nyi mnajipa maumivu na mabiff yasiyokuwa ya lazima.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad