VIDEO: ‘Alitajwa Mke wa Marehemu Mmoja Mimi Nafahamu Wako Wanne au Watano’-Magufuli

Leo October 17 2016 Rais John Magufuli ameongoza wananchi wa jiji la Dar es salaam kuuaga mwili wa aliyekuwa meya wa jiji hilo Dk. Didas Masaburi aliyefariki October 12 2016.

Baada ya msomaji wa wasifu wa Dk. Masaburi kutaja kuwa  marehemu ameacha mke mmoja, Rais Magufuli alipata nafasi ya kuzungumza na kusema anafahamu Dk. Masaburi alikuwa na wake wanne au watano na hata watoto anafahamu kuwa anao zaidi ya 20, aidha Rais Magufuli amewaomba watoto wa marehemu kushikamana na kuwa wamoja, unaweza kuangalia video hii hapa chini....
Tags

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Rais huyo anaropoka hadhani maisha ya watu
    CCM
    Kina Trump wako wengi

    ReplyDelete
    Replies
    1. Anony 5:50 Punguza jaziba za ukichaa mheshimiwa hakufanya kosa kuwatambulisha wake zake Masaburi baada ya kuona kuna tatizo baada ya marehemu kufariki kuna changamoto nyingi kuna watu wenye tamaa ya mali za urithi na kuwadhulumu wengine na emewaomba washikamane baada ya baba yao kufariki na hilo ni jambo la nadra sana kwetu watanzania ktk familia zetu kinachoangaliwa ni mali kwanza hata tuko tayari kuchinjana kwa kugombania mali ya marehemu ambayo ameitafuta mwenyewe kwa jasho lake lakini sisi wapenda vya bure kila mmoja mwanandugu povu lina mtoka wakati walishindwa kujitafutia wenyewe

      Delete
  2. Nakushamgaas Janet mumeo anajuwa wanawake wote wa ex meya wa dar
    Kwani alikuwa kuwadi
    Itasha kuwa kuwadi sasa rais

    ReplyDelete
    Replies
    1. PUMBAVU ZENU HAPO JUU, KWANI JANETY NI MKE WA KWANZA MPAKA ATAJWE YEYE???? KWA NINI ASITAJWE MKE WA KWANZA AU NI KWA VILE HUYO JANETY ANAJISHAUWA SANA KWA VILE YEYE NI MWENYEKITI WA UWT MKOA??? SAFI SANA JPM KWA KULIWEKA WAZI HILI MAANA HUKUTAKA KUWA MNAFIKI WAKATI UNAWAFAHAMU WAKE ZAKE WOTE. KWELI USILOLIJUA NI USIKU WA GIZA

      Delete
  3. Ifike wakati msiba uwe wa familia tu. Ndio wenye uchungu wa kweli. Angalia Kenya walipofikia. Msiba ni uwanja wa siasa.

    Tanzania sasa watu wanasema ovyo msibani. Naona aibu kuwa na Rais asiyechagua cha kusema.
    Halafu watu wanachekaa....

    ReplyDelete
  4. Mmmh maneno mengine tufikirie kwanza au kwa ukweli wake

    ReplyDelete
  5. Jamani hili la Ndugu kufarakana baada ya misiba ya wazazi ni kweli kabisaaa wala Mh. Rais hajasema uongo. Ni ukweli, ni ukweli, ni ukweli na hasa ni mali za marehemu huwa zinawagonganisha Ndugu. Sasa hapo walipo hata msiba haujaisha tayari wako wanazipigia hesabu mali za marehemu duh!! Hii Laana itatumaliza wengi.
    Niulizeni mimi mwenzenu ambaye nilipoteza wazazi wangu wote wawili wakati nikiwa Nchi za Ulaya.
    Ndugu zangu waliishia kuzifuja mali za marehemu wazazi wangu na hata bila ya haya kwenye nyuso zao hawakunishirikisha.
    Sasa hizo laana na ma Kesi yamejaa huko Mahakamani.
    Ni kushtakiana mtindo mmoja.
    Kwa kweli Mh.Rais nakushukuru sana kwa kuikumbusha hiyo Familia juu ya hilo hata likija kuwatokea wasitoe visingizio kuwa hawakuambiwa.
    Jamani hizi Familia na hasa watoto wa marehemu shikamaneniiii lol!!!!!
    Mtangulizeni na Mungu mbele.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad