(VIDEO) INAUMA SANA: Msikie Anavyosimulia Jinsi Alivyotobolewa Macho Na “Scorpion”

Tazama jinsi kijana Saidi Ali akielezea namna alivyovamiwa na kutobolewa macho hadharani, aliyemtendea unyama huo wa kutisha ni Salum Mpepe maarufu kwa jina la Scorpion. Video:

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Matukio kama haya wale wanaojiita haki za binadamu huwaoni wala kuwasikia angalau kuzungumzia, wanasubiri maandamano yapigwe marufuku ndio utawasikia haki za binadamu zimevunjwa.........kwakweli huwaga sielewi hasa shughuli zao ni nini?? Siwapendi, wamekaa ki-siasa zaidi, WAFUTWE, tujue moja.......

    ReplyDelete
  2. Huyo shetani sioni umuhimu wa kumpeleka segerea angeingiziwa tu asidi kwenye macho akaachwa ndo utakuwa mwisho wa kufanya uhalifu angekuwa wakati mwingine sheria za arabuni nzuri sana yaani

    ReplyDelete
  3. kama inawezekana angetolewa macho awekewe huyu kaka jamani alafu scopion ndo abaki bila macho. bardhul shetwan huyu

    ReplyDelete
  4. Inasikitisha sana. Yupo na mwingine Kimara suka anaitwa spider yani anaogopeka suka nzima jana kampiga kijana wa pk kamvunja kiuno,miguu yote, mbele ya watu na bodaboda walikuwepo wanamuogopa wapitanjia tupo jamani sio story wala uongo ni ukweli kabisa lakini wanasema huyo jamaa ni hatari sana huwezi mgusa. Nilishangaa sana. Fika suka ulizia jina hilo kila mtu anamjua ila anaogopwa sana.cjui yule kijana aliyefunjwa maisha yake yatakuwaje kwani hawezi tena kusimama wala kukaa. Wahusika chukueni hatua kwa huyo mtu haraka.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad