Walimu hawa wanaonekana si tu wanampiga mwanafunzi huyo kwa viboko, bali wengine wanampiga makofi ya uso, huku walimu wengine wakiwasihi wamuache mwanafunzi huyo kwani wanaweza kumuumiza.
Haijaweza kufahamika mara moja jina la shule hii, lakini ni ya nchini Tanzania kwani ukutani inaonekana nembo ya serikali. Kwa yeyote anayefahamu anaweza kutuandikia hapa chini ili kuweza kuuhabarisha umma.
Tazama Hapa Video:
Video kutoka katika mitandao ya kijamii ikiwaonyesha Walimu wakishirikiana kumuadhibu mwanafunzi. pic.twitter.com/VDNaZEoBY4— Swahili Times (@swahilitimes) October 6, 2016
Duh!! Hao walimu ni 'SCORPION' really .........
ReplyDeleteJamani ee Mungu hata kama kafanya makosando wamchangie wote
ReplyDeleteWalimu let us stick to our ethics. Mwanafunz akiwa jeuri mrudishe kwa wazazi wake. Najua wapo wanafunzi wengine hawastahili kuitwa wanafunzi. In fact problems lkn ukichukua hatua Kama hiyo ya kupiga makofi tunaweza tukafika pabaya . Tuielewe jamii yetu kwa sasa jinc ilivyo. Itatusaidia sana kufundisha
ReplyDeleteWazazi saizi wameacha kulea watoto wao . Watoto wanasauti kuliko wazazi. Wanajiongoza wenyewe. Relux teachers. Mwanafunz akiwa jeuri Acha dunia itamfundisha.
Naomba haya mashetani yakamatwe!! Mungu onyesha miujiza yako ili hawa mashetani yakamatwe.Naomba raisi wetu aonyeshwe video hii, chamto watakipata.
ReplyDeleteHawa sio walimu ni majambazi, wasipochukuliwa hatua hatutawaelewa wahusika
ReplyDeleteAiseee kweli wanafunzi wengine jeuri lkn hicho kichapo kimezidi kosa jamani
ReplyDeleteMtoto kafundishwi kwa fimbo jaman hata huruma hamna hiyo ni too much inauma sana
ReplyDeleteKafanya kosa kubwa gani mpaka apigwe kama mwizi na walimu wote hivyo nikufudisha? Ni lazima wachukuliwe hatua majambizi nyie
ReplyDeleteHuyu mtoto sijui kama hajapata madhara kiafya jamani,khaah
ReplyDeletehicho ni kipigo cha mwizi.
Kwa awamu hii ya 5,walimu hawa nawapa pole.
ReplyDelete