VIDEO ya Kusikitisha, Walimu Wakichangia Kumpiga Mwanafunzi Ofisini

Video hii ambayo imesambaa kwenye mitandao ya kijamii kuanzia leo alfajiri inawaonyesha walimu wakichangia kumpiga mwanafunzi mmoja ndani ya ofisi.

Walimu hawa wanaonekana si tu wanampiga mwanafunzi huyo kwa viboko, bali wengine wanampiga makofi ya uso, huku walimu wengine wakiwasihi wamuache mwanafunzi huyo kwani wanaweza kumuumiza.

Haijaweza kufahamika mara moja jina la shule hii, lakini ni ya nchini Tanzania kwani ukutani inaonekana nembo ya serikali. Kwa yeyote anayefahamu anaweza kutuandikia hapa chini ili kuweza kuuhabarisha umma.

Tazama Hapa Video:

Post a Comment

10 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Duh!! Hao walimu ni 'SCORPION' really .........

    ReplyDelete
  2. Jamani ee Mungu hata kama kafanya makosando wamchangie wote

    ReplyDelete
  3. Walimu let us stick to our ethics. Mwanafunz akiwa jeuri mrudishe kwa wazazi wake. Najua wapo wanafunzi wengine hawastahili kuitwa wanafunzi. In fact problems lkn ukichukua hatua Kama hiyo ya kupiga makofi tunaweza tukafika pabaya . Tuielewe jamii yetu kwa sasa jinc ilivyo. Itatusaidia sana kufundisha
    Wazazi saizi wameacha kulea watoto wao . Watoto wanasauti kuliko wazazi. Wanajiongoza wenyewe. Relux teachers. Mwanafunz akiwa jeuri Acha dunia itamfundisha.

    ReplyDelete
  4. Naomba haya mashetani yakamatwe!! Mungu onyesha miujiza yako ili hawa mashetani yakamatwe.Naomba raisi wetu aonyeshwe video hii, chamto watakipata.

    ReplyDelete
  5. Hawa sio walimu ni majambazi, wasipochukuliwa hatua hatutawaelewa wahusika

    ReplyDelete
  6. Aiseee kweli wanafunzi wengine jeuri lkn hicho kichapo kimezidi kosa jamani

    ReplyDelete
  7. Mtoto kafundishwi kwa fimbo jaman hata huruma hamna hiyo ni too much inauma sana

    ReplyDelete
  8. Kafanya kosa kubwa gani mpaka apigwe kama mwizi na walimu wote hivyo nikufudisha? Ni lazima wachukuliwe hatua majambizi nyie

    ReplyDelete
  9. Huyu mtoto sijui kama hajapata madhara kiafya jamani,khaah
    hicho ni kipigo cha mwizi.

    ReplyDelete
  10. Kwa awamu hii ya 5,walimu hawa nawapa pole.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad