Wapi Ney wa Mitego?

Fiesta not reachable, duuuuh.....!!

Longa nasi msaani wetu Ney wa mitego, nini kimekukuta? Au ulikuwa kanjanjaa bro ukatulisha matango poli..!?

Nimemis ili ngoma, ITAFAHAMIKA TU.. au unasoma game uje kama KING GK?

Maisha mema brooo, mwenzio nimeshakuwa mganga wa kienyeji. Naamka na kaniki, naenda kwenye kijumba cha kazi aka Msonge.. naagiza kuku na mbuzi kwa sana, siagizi tembele..
Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Duh!!! Kaaaaziiii kwelikweli!!!

    ReplyDelete
  2. Hahahaha ama kweli, mganga haagizi tembele tehetehe umewini bro!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad