Waziri Ndalichako awatimua Chuo walimu wa mafunzo waliompiga mwanafunzi shule ya Kutwa Mbeya

Hatimaye Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Profesa Ndalichako amewafukuza chuo walimu waliohusika na kumpiga mwanafunzi wa kidato cha tatu wa shule ya kutwa Mbeya.

Mpaka sasa Mkuu wa Shule na baadhi ya walimu wamefikishwa katika kituo cha polisi kwa mahojiano kuhusiana na tukio hilo.
Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. TUNAJENGA TUNABOMOA

    ReplyDelete
  2. wausika si kuwafukuza kazi pekee na wafikishwe mahakamani

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad