Wema Sepetu na Kujikomba Kote Kwa Aunty Ezekiel atoswa Kwenye Birthday


Aunty ezekiel kweli ka move on past wema.. Pamoja na wema kujikomba kote kumuwish happy birthday aunt na kumpost mapicha kibao insta, aunty ezekiel kamkaushia mikausho mikali na hata hajamualika kwa birthday yake leo. Kweli wema kaisoma namba na leo ni namba 168.

Nahisi zarithebosslady katumia cheo
Video:

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Wema is not in Bongo

    ReplyDelete
  2. move on Aunt Ezekiel Wema Sepetu hafai kama rafiki pia ulivyopata mtoto Wema Sepetu hakuja kukuona

    ReplyDelete
  3. Kweli Wema ametumika kuwapa kick wengi. Lakini naye anasababisha wamtose kwa kuringa sana wanapokosana kidogo.

    ReplyDelete
  4. Ubinadamu kazi kweli mnaona raha kugombanisha watu na mtalaaniwa Duniani na ahera

    ReplyDelete
  5. Tanzania inabidi tuache Ushamba.com wa kuwa na keki nyingi namna hiyo ktk party moja. Kwanza nani anakula? Mkila si mtazidi kunenema tu. One or 2 big cakes and lots of other presents to the birthday girl inatosha.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad