ALI KIBA Ashinda Tuzo za NAFCA na The Nol

Alikiba ashinda tuzo mbili za The Nollywood & African Film Critics (NAFCA)

Alikiba ameshinda vipengele viwili kwenye tuzo za heshima kubwa za The Nollywood & African Film Critics (NAFCA) ambazo hutolewa nchini Marekani.

Tuzo za mwaka huu zilitolewa wikiendi hii kwenye ukumbi wa Alex Theatre of Glendale, huko California. Zilikuwa ni tuzo za 6 na zilionekana katika nchi mbalimbali duniani.

Alikiba ameshinda kipengele cha Favorite Artist of The Year na Favorite Song of The Year
Tags

Post a Comment

10 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. KING KIBAAAAAAAA!!! MY FAV!! huyu ndo mkali wa bongo bana!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Wenae Bwege Kiba Boya Tu, Hana Cha Uking Wala Nin, Wimbo Gan? Labda Kama Kaandikiwa

      Delete
    2. Kwani veepee!!! mbona povu linakutoka??? Humpendi TEMBO?? KING'KIBA.....hahahaha SAGA-CHUPA-UBWIE..........

      Delete
    3. wewe mavi kabisa, kama wewe humuoni hvyo basi kaa kimya, biigg uppp KING KIBA!!!

      Delete
  2. sioni wimbo ambao kiba aliimba ukashinda song of the year .labda arishiriki mwenyewe.

    ReplyDelete
    Replies
    1. USILO-LIJUA-LITAKUSUMBUA-SEMA-NA-MOYO-WAKO-USUKUME-DAMU-USIJECHANGANYA-NA-MENGINE

      Delete
  3. you can say anything binadamu muna roho za korosho hamupendi mafanikio ya wenzenu kuweni akili sio kujenga chuki all we when know is he is the best Keep it up King Kiba with mingi love hongera sana

    ReplyDelete
  4. hakuna namna tena. ukweli utabaki palepale he is the KING.

    ReplyDelete
  5. No argument he's the best in East A. None you can compare with. The where he sings, sound, behavior,dressing style... look at how he's doing well without collaboration. Big up King you are only one in Est A nad will continue being one. All your songs are very sweetable and exciting. Just still the beginning.

    ReplyDelete
  6. King Kiba kila kitu yuko fresh, kwenye MAVAZI, SAUTI, NYIMBO, NIDHAMU yani lazima umkubali tu!! BIGGG UPPP MAN!!KING OF EAST AFRICA COMMUNITY!


    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad