Kwa mujibu wa Mtv Ema Alikiba ameshinda kwa kura nyingi sana alizopigiwa na mashabiki na wamemtangaza kuwa katika kipengele cha kura nyingi Ali ndio mshindi.
Naomba tufahamu kwamba Tuzo kubwa kama MTV EMA na BET kuna vipengele ambavyo maamuzi yake hayategemei kura za mashabiki bali huamuliwa na wadhamini, majaji pamoja na waandaaji wa Tuzo. Kipengele hiki huangaliwa ni kiasi gani msanii anafanya vizuri katika category aliyowekwa cz inawezekana msanii akakosa kura nyingi lakini anastaili kupata tuzo kutokana na mchango wake katika mziki.
Kipengele hicho ndicho kilichomfanya Wizzy ashinde Tuzo hiyo ya MTV EMA.
Kiukweli MTV EMA hawajakosea katika hilo cz watanzania wengi walimpigia kura Kiba bila kujali team zao lakini kwa viwango vya kimataifa kiba hawezi kumfikia hata Robo Wizkid.
Alikiba alitakiwa kuwaambia ukweli mashabiki zake na sio kulalamika kwenye media kuwa haelewi kilichotokea wakati anafahamu ukweli wote. Kulalamika kwa Ali kutamsababishia picha mbaya na sidhani kama MTV EMA watakuja tena kumchagua kuwania Tuzo hizo katika Category yoyote ile.
Natumaini nimeeleweka japo kwa uchache.
By Sele Mkonje
Huyu mleta madaa namuelewa ni upand gan yuko na bifu analo na Kiba ila bifu haing tuma unaandik haya admin. Unapo sema eti mashabik sio wanaamua kwa nini wasem wapig kura? mbon huk ulay wanapo tafut msani wa kuwakilish inchi mbona mashabik ndo wanaamuwa. Na hapo utaon wale walio kuwa wanapendekezw na majaji wanabwagw. We acha chuki eti kapigiwa na watanzania we mjinga. Nigeria na Tanzania ipi yeny watu wengi? chuk hain maendeleo. Kiba zadhulumiwa tu hapo hakuna cha majaji kama ulifany vizur kimataif utashindw vipi kweny kur na yule hajulikan? anae weza shind kura za wanainch niyule aliebfany vizur kimataif naye ni Kiba kwa sabab alipigiw kur na watu ambao wanamkubali.
ReplyDeleteWe ni pumbavu jinga moja puuzi moja hiv ulichoandika hapo unakielewa we mbweha...eti hawaangalii kura sasa kama kura hazina maana watoe hiyo sehemu ya upigaji kura thn hao wadhamin na majaj ndo wachague mshindi msilete ubabaishaji wa kisenge...na ningekuwa na tovut yao mtv mavi ningeenda kuwataukana pia huu ni ubabaishaji pasee kama kura za mashabik hazina maana basi watoe waseme hatutak mpige kura tutatangaza mshindi kwa vigezo vyetu sisi mtv mavi...huu ni upumbavuuu mtupuuu tena upumbavu mweupe..wa toleo jipya....non sense...
ReplyDeleteSasa kama hawaangalii kura kuna faida gani ya kutaka watu wapige. Hao majaji na hao wadhamini si wangelikaa wenyewe na kuchagua wanae mtaka wasinge hangaisha watu kupiga kura. Haya ndio matatizo yetu sheria tunapanga wenyewe halafu hatuzifuati ujinga mtupu
ReplyDeleteBasi imekuwa CCM ya Zanzibar, Cuf ndio washindi kwa kura lakin Mh Jecha na CCM wenzake wameona Maalim Hawezi kuongoza au hastahili kuongoza Zanzibar Ccm (Wizkid) ndio apewe ushindi, ):
ReplyDeleteMtoa post in team domo mbwa ukimjua hakupi shidaa
ReplyDelete