Hii baada ya domo na mavoko kuachia ngoma povu likamtoka ommy akimshushia domo kuwa aache mziki wa ujanja ujanja akimanisha kuwa domo aache tabia zake za kununua view, tunzo kuwa awekeze kwenye mziki mzuri usio na ujanja ujanja naye domo hakuwa mbali akamjibu kuwa nae apunguze tabia za kipunga
Hata hivyo kama mnavyojua Diamond na uswahili wake hakutaka kuacha lipite kimya kimya akaamua kumjibu ommy dimpoz kwa kutupia dongo
BAADA ya WCB Kutoa Wimbo , Ommy Dimpoz Atao Mapovu, Diamond Amjibu na Kuvujisha Siri ya Ugomvi Wao
1
November 23, 2016
Tags
Dume shupa ommy wivu mbaya yani wewe unaweza kujilinga nisha na domo kweli😃😃😃 we pumba kweli. Ali mwenyewe hataweza bado saaaaana aliye wazdi kawa zaidi tu Madume shupa nyie na kukupumulia hakumulii ng'o kisha goma msonyo
ReplyDelete