Calisah Anashikiliwa Na jeshi la Polisi Baada ya Kuvujisha Video Akidendeka na Wema Sepetu

Habari zimeenea kuwa Model Calisah ambae alikuwa mpenzi wa Wema Sepetu anashikiliwa na jeshi la polisi, Shilawadu wana ripoti kuwa chanzo Cha Calisa kusakwa Hatimaye kutupwa ndani ni kutokana na kutishia kuachia video na mapicha Picha aliyowahi kupiga na dada etu Enzi Za Penzi Lao, Inasemekana eti Bwana Calisah baada kupigwa kibuti na Sepenga Ndo akaamua kusambaza video Yao wakila denda Kama kionjo na kutishia kuachia mapilauuuu ya kwichy kwichy ambayo yapo kwenye simu aliyopewa na Wema Sepetu...

Chanzo:Shilawadu/Soudybrown
Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ujinga wa Wema. Alitegemea nini kutoka kwa kiserengeti chenye kiu ya kutoka? Kwanza pengine Wema mwenyew alitaka video ivuje. Wema hajakaa sawa hata kidogo. She needs deliverance.

    ReplyDelete
  2. Mambo ya Sex Tape mbona ni mambo ya kawaida sana. Aaachwe aiachie kwenye luninga. Siku ya kwanza Wabongo watashangashangaaa siku ya pili itakuwa ya kawaida, siku ya tatu watu wamesahau na maisha yataendelea. Sioni sababu ya kutiwa ndani kwa kitu cha kipuuzi kama hicho. Serikali ina mambo mengi ya maana ya kuyashughulikia kuliko kumpatia Dogo kama huyo 5 minutes of fame. Kwani kuna kitu gani kipya ndani ya papuchi ya Wema Sepenga???????

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad