Calisah Azidi Kuvujisha Picha za Wema Sepetu

Hii ni fundisho kwa wanawake wote usiparamie Mwanaume hovyo kabla hujamjua vingenevyo muanze na system ya Kugegendwa gizani..Baada ya Video wakilana Denda sasa ni hizi Picha

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kwani kuna ubaya gani kupiga picha kama hizo na mpenzi wako mnayeaminiana. Kwani hapo kuna kitu gani cha ajabu. Mtu kaamua kwa mapenzi yake kupiga picha na mpenzi wake na kaamua kuwaonyesha sasa mapovu yanawatokea kitu gani???? By the way hizo picha mbona ni za kawaida sana. Hakuna kitu chochote cha ajabu kilichoonekana hapo. Hata pacha lenyewe halijaonekana. Kwa kweli nyie waandishi uchwara umefikia wakati wa kuacha kushabikia vitu visivyokuwa na kichwa wala miguuu. Mwacheni Wema Sepenga awe na roho wa Amani katika maisha yake. Mwacheni aendeleee kujilia maisha yake bila ya kubugudhiwa kwani maisha yenyewe nia mafupi. Na pia nyie waandishi uchwara mjifunze kutoa boriti kwenye macho yenu kabla hamjatoa vibanzi kwenye macho ya wenzenu. Kwani hakuna binadamu asiyekuwa na mapungufu hapa Duniani. As long as hajaua mtu nyie tatizo lenu liko wapi????????

    ReplyDelete
  2. Huyo wema ni mama Huruma huwa hakatalii mtu akomee. Maharage ya mbeya maji malamoja

    ReplyDelete
    Replies
    1. Teh teh teh teh,maji mara moja?

      Delete
  3. hta taarfa ynyw sion hta humuhmu wa kuitaharfu

    ReplyDelete
  4. jamaa alimlewesha Wema kabla ya kupiga hizo picha

    ReplyDelete
  5. mwacheni kumuita Wema mama huruma wanaume na pia wanawake wengi wanamtamani lakini hawajapata hata bahati ya kukutana nae na Wema anafanya vile kubadilisha mabwana ili apate sifa kwa Diamond yaani anataka Diamond apate donge sababu mpaka leo Wema bado anafikiria kuwa Diamond atamrudia maana tangu aachane na Diamond Wema hajawahi kumpenda mwanaume yeyote kama alivyokuwa anampenda Diamond

    ReplyDelete
  6. Jamani mie napita tuu hapa, haha haha hahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad