DIAMOND Kaamua Kufunguka Yote Leo...Nimekuwekea Kauli Zote Alizosema Leo Ikiwemo ya Ommy Dimpoz Kutuma Watu Wamuombe Msamaha


Nimekuwekea hapa Maneno Aliyosema Diamond Leo Kwenye Kipindi cha XXL:


Ommy Dimpoz ameshatuma watu wengi sana kuomba msamaha, amenipigia hadi simu lakini sikupokea. Ila nimemsamehe- @diamondplatnumz #XXL


Wanajisifu wana sauti nzuri lakini makoo yanawakauka na 'show' hawapati, wakifanya nyimbo haziendi mbali- @diamondplatnumz #XXL

Kama mimi ni msanii wa ujanja ujanja mbona nafanya nyimbo zinakwenda kimataifa na matamasha kimataifa yanajaa?- @diamondplatnumz #XXL

Mimi ni mtu mstaarabu sana lakini watu wananiona kama nina kejeli, na kila wakitaka kushindana na mimi wanashindwa- @diamondplatnumz #XXL

Wimbo wa I Will Mary You niliyomshirikisha Ne-Yo haujavuja lakini ulitoka ukaanza kusambazwa Marekani na Ulaya- @diamondplatnumz #XXL

Mimi ni mtu mstaarabu sana lakini watu wananiona kama nina kejeli, na kila wakitaka kushindana na mimi wanashindwa- @diamondplatnumz #XXL

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. jifagilie Domo siku yako itafika na mganga atachoka kufanya uchawi.

    ReplyDelete
  2. NYIE WATU HACHENI WIVU, DUNIA YA SASA HAKUNA UCHAWI KWENYE MUZIC, NI UJANJA UJANJA TU, KWA HIYO ACHENI WIVU, KAMA MNAJIJUA MNAJUA KUIMBA SANA BASI NANYIE TUMIENI HUO UJANJA.. ACHENI MARUMBANO..MNAMCHUKIA MTU KUPITA KIASI,, HAMJUI SIRI YA MAFANIKIO YAKE,MMEBAKI KUWAZA MAMBO YA KIUSHIRIKINA.......MSHAISHIWA SAUTI, MESEMA MPAKA MAKOO YAMEKAYKA

    ReplyDelete
  3. hivi huyo mganga wewe umjui kwann usiende mkuuu

    ReplyDelete
  4. Huo wimbo wako na Nay umevuja marekani pande zipi maana mi nasikiliza Redio zote hapa jimboni kwangu sijausikia wala hakuna Dj anaye kujua... Kuna radio inapiga nyimbo za africa sijawahi kusikia Bongo Flava hata moja....Weka wazi basi State gani inapiga nyimbo zako sio Marekank nzima.....

    ReplyDelete
  5. Enter your comment...saaaaaaana tu jembeeeeeee acha washindane bado wako chini yko

    ReplyDelete
  6. mtu akiwa succesfull bwana bongo ni uchawi yani......Tanzanians wake up....

    ReplyDelete
    Replies
    1. Samahanini kama nitawakwaza LAKINI kusema ukweli nachukia saana hii tabia ya watu wachache wakitofautiana halafu baadhi ya watu wanaunganisha watanzania wote kwa kusema watanzania bwana wako hivi na vile. Yaani sipendi basi tu.

      Watanzania tupo zaidi ya milioni hamsini - hivi mnadhani wote wanahangaika na wasanii??!! Hao masuper star wanaosababisha mpaka watanzania wote waonekane hawana maana wapo wangapi? ni wa kuhesabu tu.

      Msiidhalilishe nchi nzima kwa chuki na wivu kwenye njia zenu za utafutaji riziki. Mtoa riziki ni Mungu pekee na riziki hutafutwa na wala haipiganiwi au kugombaniwa kamwe.

      Delete
  7. mdau umesema kweli watu wavivu siku zote hawaangalii maendeleo ya mtu ki mtazamo chanya, mafanikio ya domo yawe changamoto kwenu mtafanikiwa mxiu!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad