Faiza Ally Akerwa na Wanaomtukana Wema Sepetu Kuhusu Kutopata Mtoto


Faiza akerwa na wanaomtukana Wema Sepetu...

Jisomee.......

Faizaally_
" Hakuna kitu huwa kinanikera Kama watu wanao mtukana Wema kuhusu mtoto ...nachukia sipendi .... Hivi nyinyi mlio zaa mnajua mme zaa kinani ? Kwa nn msikae mka wao mbea watoto wenu mema badala ya kumkashifu mtu ambae hajazaa? Unajua bora kutokuzaa kuliko wewe usie jua umemzaa nani? Vipi Kama umezaa jambazi,shoga Au toto lolote tu lisilo kuwa Na faida yoyote ? Hebu kaeni muombee vizazi vyenu Maana hamjui mlivyo zaa vitakua kinanani huenda bora haya huyo Wema ambae hajazaa,by the way Wema Bado mdogo sana ...ktk umri Kama w Wema hata mm nilikua sijazaa sijui hata kinacho wafanya mumkatie tamaa Wema .... INSHAALLAH KWA UWEZO WA ALLAH IKO SIKU WEMA ATAZAA TENA SIO KUZAA TU NA ATAZAA MTOTO MWENYE FAIDA.... wapumbavu wote mnao weka picha za watoto Na kumuweka Wema Na mbwa ... Sio bure lzm mna laana Maana hamuogopi hata Mungu...lol kutwa kumsakama mtoto wa watu ....? Haya nyinyi mlio zaa mnakataba Na Mungu hao watoto wenu wataishi ? MUOGOPENI MUNGU WATU WAMEZAA NA WATOTO WAMEKUFA WAMEBAKI WAGUMBA .... 😞 Mungu anawaona ! Kila binaadamu Ana mapungufu usitumie mapungufu ya mwenzio kumkera kutwa"
Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Maneno yako mazuri,inabidi tubadilike tuishi kwa misingi ya kuheshimiana na kuwa na hofu ya Aliyetuumba Mola.Na mitandao tutumie vizuri kwa kuelimishana ,na sio kutukanana na kufedheheshana ,na kukerana .
    Inshaallah Mungu atuongoze vyema.
    Tuanze ukurasa mpya AMANI

    ReplyDelete
  2. Alitoa mimba ngampi. Nyiyi wabongo mnapenda kutetea kila kitu!!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad