FULL VIDEO: Paul Makonda Alivyoamuru Mwenyekiti Mwingine Akamatwe Katikati ya Mkutano

November 24 2016 Mkuu wa mkoa wa Dar es salam, Paul Makonda ameendelea na ziara yake ya siku 10 ambayo lengo ni kukutana na wanannchi kwa ajili ya kusikiliza kero zao. Ilikuwa ni zamu ya Ilala na hapa ulikuwa ni mkutano wa hadhara Chanika, katika mkutano huo ulitawaliwa na kero kubwa moja ambayo ni suala la ardhi.

Moja ya kero iliyowasilishwa ni kuhusu mwenyekiti wa mtaa wa Zavala ambaye anatuhumiwa kuuza ardhi kinyume cha sherialikiwemo eneo lililotengwa kwa ajili ya kuhamishia wananchi wa kata ya Kipawa ili kupisha upanuzi wa uwanja wa ndege.

RC Makonda baada ya kuwasikiliza baadhi ya wajumbe wa serikali ya mtaa waliotoa ushuhuda kuhusu tuhuma hizo aliamuru mwenyekiti kukamamtwa katikati ya mkutano. Unaweza kuangalia ilivyokuwa kwenye hii video hapa chini.


Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Safi sana Makonda;hawa watu hawafai katika jamii yetu.

    ReplyDelete
  2. uaminifu na uwajibikaji na uadilifu..ndiyo utakayo tuletea Dar mpya na TANZANIA MPYA. tusioneane haya..hii kasi ya baba JPJM ni lazima tuitekeleze kwa spidi ile ile. Mpaka MH NARENDRA MODI (Waziri mkuu wa INDIA) Amejifunza toka kwa baba JPJM na ameanzisha hivi sasa nchoni INDIA na amewaambia nia yake ni nzri na nnajua watu hawanielewa kwa sasa na niko niyari hata kufa kwa kuchomwa moto nikiwa hai lakini sibadiliki na ameanza kwa kubadilisha NOTI ( INDIA RUPEE 1000 NA MIA 500. MAKONDA UNACHOFANYA NI SAWA NA MH RAISI AMESHAANZA KUOGWA NA MATAIFA YA NJE KWA UTENDAJI WAKE NA SPIDI YAKE NA NIA YAKE NJEMA..TUMSAIDIE NA KUMPA USHORIKIANO WETU MPAKA NCHI IRUDISHE HESHIMA YAKE NA UTENDAJI BORA..HAPA KAZI TU..MUNGI AKULONDENI INSHAALLAH

    ReplyDelete
  3. uaminifu na uwajibikaji na uadilifu..ndiyo utakayo tuletea Dar mpya na TANZANIA MPYA. tusioneane haya..hii kasi ya baba JPJM ni lazima tuitekeleze kwa spidi ile ile. Mpaka MH NARENDRA MODI (Waziri mkuu wa INDIA) Amejifunza toka kwa baba JPJM na ameanzisha hivi sasa nchoni INDIA na amewaambia nia yake ni nzri na nnajua watu hawanielewa kwa sasa na niko niyari hata kufa kwa kuchomwa moto nikiwa hai lakini sibadiliki na ameanza kwa kubadilisha NOTI ( INDIA RUPEE 1000 NA MIA 500. MAKONDA UNACHOFANYA NI SAWA NA MH RAISI AMESHAANZA KUOGWA NA MATAIFA YA NJE KWA UTENDAJI WAKE NA SPIDI YAKE NA NIA YAKE NJEMA..TUMSAIDIE NA KUMPA USHORIKIANO WETU MPAKA NCHI IRUDISHE HESHIMA YAKE NA UTENDAJI BORA..HAPA KAZI TU..MUNGI AKULONDENI INSHAALLAH

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad