Hakeem 5: Ali Kiba Ana Roho Mbaya, Siwezi Kumuomba Msamaha

Msanii wa kitambo wa bongo flava, Hakeem5 akiulizwa kuhusu ushauri aliopewa na Abby Skills kuhusu kumuomba msamaha Ali kiba amedai katu hawezi kufanya jambo hilo
Amesema yeye aliongea ukweli kuhusu Ali Kiba na ukweli sio lazima umfurahishe kila mtu.
Pia ameongezea Ali Kiba ana roho mbaya na hata kolabo alilofanya na Abby Skills ilitokea tu baada ya yeye Hakeem5 kuongea
Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Huo ni uswahili uswahili tu. Na hilo ndilo tatizo la Watanzania mambo yao binafsi wanayaleta huku mitaani.

    ReplyDelete
  2. HAKEEM5 KUMBUKIA nyimbo ya NAKSHI.mwenzio yuko juu saa.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad