Hawa ndio mastaa waliotajwa kwenye Most Stylish East African Females 2016


Kituo cha runinga cha MTV Base kimeyataja majina ya mastaa wa kike kutoka Afrika Mashariki wanaojulikana kama Most Stylish East African Females.

Mastaa waliotajwa na kituo hicho ni pamoja na Vanessa Mdee (Tanzania), Lupita Nyong’o (Kenya), Zari (Uganda), Juliana Kanyomozi (Uganda),Victoria Kimani (Kenya) na Avril (Kenya).

Wengine waliotajwa ni pamoja na Rosa Ree kutoka lebo ya The Industry inayomilikiwa na Navy Kenzo, Sheebah Karungi (Uganda) na DjEynie (Kenya).
Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. kumbe ni kweli, hii blog ipo kuwa-kik watu fulani, yaani haipiti siku bila ya kuwekwa habari inayo muhusu DOMO au familia yake, yanayo lalamikiwa yanaukweli kumbe

    ReplyDelete
  2. We Hapo Juu sasa unataka aandikwe nani wakati Diamond ndo habari ya mjini?

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hahaha huyo anonymous 11:08 AM atakuwa timu Ununio. Mambo yanazidi kwenda kombo. Hela ya kodi inatakiwa. Si Calisah wala Idriss yuko tayari kudhamini kodi ya pango. Biashara ya malapa imebuma. Makalio feki hayallpi.Kachakaa kama shoga yake Mange Kimavi hahahahahaha

      Delete

Top Post Ad

Below Post Ad