Nikimuona Diamond na kina Kiba na wanamuziki wengine wakila bata najua ni mziki wao unawalipa. Ila kuna hawa watu maarufu huko Instagram kama kidada fulani Tunda na wengine, picha zao zimekaa kibatabataaa lakini niulize huwa wanafanya kazi gani maana hata kama ni kuimba kama hata wamewahi jaribu bado hawana majina makubwa, hawaonyeshi kumiliki labda hata mabiashara.
Hebu jamani kama wapo humu watuambie kazi zao maana hata kulalama njaa kama wengine wanaolialia hawasikiki.
Tafakuri tu japo ni maisha ya watu hayanihusu
ilishaandikwa kuwa tunda analipiwa kila kitu na kibosile halafu tunda anakula vizuri namna hiyo lakini hanenepi mimi mwenyewe ni demu nakula namna hiyo kila siku pia nakunywa bia kila siku lakini nimenenepa nimependeza
ReplyDeletetunda ni msichana mrembo sana sasa kwa nini anakaa kidume dume yaani vinywele vifupi sana au kipili pili angeweza kufuga nywele zikawa ndefu na kuzibana angependeza sana kama sasa anaishia kuvaa mawigi tu
ReplyDelete