Hawa Wadada Wenye Majina Makubwa Wanatoa Wapi Pesa za Matanuzi?

Nikimuona Diamond na kina Kiba na wanamuziki wengine wakila bata najua ni mziki wao unawalipa. Ila kuna hawa watu maarufu huko Instagram kama kidada fulani Tunda na wengine, picha zao zimekaa kibatabataaa lakini niulize huwa wanafanya kazi gani maana hata kama ni kuimba kama hata wamewahi jaribu bado hawana majina makubwa, hawaonyeshi kumiliki labda hata mabiashara.

Hebu jamani kama wapo humu watuambie kazi zao maana hata kulalama njaa kama wengine wanaolialia hawasikiki.

Tafakuri tu japo ni maisha ya watu hayanihusu
Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. ilishaandikwa kuwa tunda analipiwa kila kitu na kibosile halafu tunda anakula vizuri namna hiyo lakini hanenepi mimi mwenyewe ni demu nakula namna hiyo kila siku pia nakunywa bia kila siku lakini nimenenepa nimependeza

    ReplyDelete
  2. tunda ni msichana mrembo sana sasa kwa nini anakaa kidume dume yaani vinywele vifupi sana au kipili pili angeweza kufuga nywele zikawa ndefu na kuzibana angependeza sana kama sasa anaishia kuvaa mawigi tu

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad