Heka Heka ilizungumza na mama mzazi wa wa binti huyo ambaye ameeleza kuwa alikuja Dar es salaam kwa mara ya kwanza mwaka 2005 akiwa ni mke wa mtu na alikaa kwa siku 9 tu na wakati akikaribia kuondoka alienda Club ambako alikutana na mwanaume ambaye anatajwa kuwa ni Cheki Budi ambaye muigizaji wa Bongo Movie na ni siku hiyo hiyo alipata ujauzito.
Sasa Leo Geah Habib amempata Cheki Budi kazungumzia kuhusu yeye kudaiwa kuwa yule ni mtoto wake, Cheki Budi amesema……
’Nipo tayari kuonana naye, ikiwa maelezo hayajanitosheleza nitapima DNA kama mtoto ni wa kwangu mimi nitampokea, hivi kweli mimi nitakumbuka miaka 11 iliyopita halafu mtu mwenyewe anasema ametembea na mimi siku moja’
Kusikiliza Full Stori, Bonyeza Play Hapa chini:
Nimekupendaje Chekibudi,safi sana.
ReplyDeleteUkimwi,ukimwi,unachukua mtu club unaenda nae nyumbani,halafu una....bila kinga,uwiiiiiii!
ReplyDeleteChekibudi KIWEMBE
ReplyDeleteMwanaoooooooooooooooooooooooooooooooooooo,bila hata DNA.
ReplyDeleteMNAFANANA MBAYA
Hatakama sio mwanao, hilo ni 'EMBE DODO' chini ya mwarobaini, kalelewa tangu mtoto mpaka amekuwa mkubwa, hujachangia hata senti moja, bado unaleta longo-longo za DNA. Mimi ni mweusi tii, laiti kama ningekuwa naweupe angalau kidogo tu, huyo mtoto ningemchukua!
ReplyDelete