Usawa huu wa mh magu nmeupenda sana, mabishoo wamepungua kwa kasi sana waliobaki ni vichwa ngumu kweli kwao somo la nyakati walishafeli totally.
Ama kweli mia tano tutaacha kuiita jero, book tutairudishia utukufu wake wa kufahamika kama sh.elf moja.
HAPA MSOTO TU.
Ndiyo maana yake wabongo watie akili kwa kujiibia wao wenyewe shenzi type
ReplyDelete