Jamaa Yake Amemwekea Tego, Msichana Yupo Tayari Kunipa Papucha ila Anaogopa Tutanasiana au Ntapata Tatizo

Nimempata dada mmoja mitaa fulani, ni mzuri sana na she is sexy. Kiukweli tumependana nami nilivyomuona tu siku ya kwanza pale ofisini nilimpenda nikaomba tuwe na ukaribu. Tukaanza ukaribu basi juzi juzi hapa nikamwambia mi natamani mambo flani. Yule dada alinikubalia lakini akasema shida kubwa ni kuwa jamaa yake mshirikina alimwekea dawa hivyo tukikutana naweza pata matatizo, anasema watu wa Morogoro/waruguru ndo zao hizo.

Sasa hajui atafanyaje maana anasema aliwahi achana na jamaa akawa na mtu mwingine yule jamaa aliyetembea naye alipata matatizo makubwa sana hadi ikabidi yule dada arudi akamwambie Mluguru amwachie jamaa awe salama. Toka kipindi hicho dada amekuwa hana amani anashindwa sasa afanyeje. Aliniambia maneno haya kwa uchungu sana nami nikimwona kiukweli anataka sana nimkandamize yaani hata tukiongea hivi namwona tu jinsi macho yanavyochoka nami mzuka unapanda natamani nimnaniii hivyo hivyo lakini ananikataza anasema coz she loves me hapendi nipate shida.

Sasa hapa wadau nifanye nini? Mambo kama haya sisi wengine hatushiriki ushirikina matatizo yetu ni K tu lakini kwa waganga hatujawah kwenda. Sasa hapo nafanyaje?

Tusaidiane tafadhali maana hali inakuwa ngumu sana kwetu sote.

By Komeo
Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. WEWE NI MSHENZI,MBWA.TAFUTA WA KWAKO WA PEKEE KUNGURU WEEEEEEEEEEE

    ReplyDelete
    Replies
    1. YEP!YOU HAVE TOLD HIM DAMN RIGHT!Atafute wa kwake..... mamamamamazake muharibifu wa mahusiano ya watu ndiyo maana mlifumaniwa huwa mnafilwaga inatia uchungu sana mtu anampenda kwa dhati demu anamjali anamuhudumia ghafla tu unatokea mshenzi kama wewe unawatenganisha hao wawili waliopendana kwa uongo wako si kazi wewe pia una mpenzi wako lakini tamaa imekujaa tele ulaaniwe shenzi type siwapendi kweli hiyo dizaini yenu

      Delete
  2. Chomeka tu kisha uone moto wake ndo utaamini kuwa hizo vitu vipo

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad