Kibosile Amtema Mrembo Tunda Baada ya Kugundua Anachepuka na Diamond

Kibosile aliyekuwa anam sponsor mrembo Tunda, ikiwa ni apamoja na kumjengea nyumba ya milioni 100 , gari pamaoja na kumpa fedha nyingi za matumizi amemtema
Sikiliza Hii Hapa chini ni baada ya kugundua mrembo huyo anatoka na mwanamuziki Diamond
Tags

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. We Soudy Brown hebu punguza hizo mbwembwe zako zenye kelele. Ongea kikawaida

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hiyo ndio sauti yake ya 'KAZI-ZA-NJE', anapokuwa katika 'KAZI-ZA-NDANI' sauti yake inabadilika kabisa tehetehetehe......MNAKULA TU UBUYUUUUU

      Delete
  2. da uyu demu anachepuka na wengi sio Diamond tu, pamoja na kujengewa nyumba lakini bado hatosheki?

    ReplyDelete
  3. wewe msichana mrembo tulia wewe ndiyo maana watu walifikiri una ngoma mpaka ukaenda kupima maana umetembea na wengi mtoto mwenyewe bado mdogo hujafika popote

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad