Kinana: Lowassa ni Rafiki Yangu Sitaki Kuamini Kama Ana Nongwa na Mimi
2
November 16, 2016
''Ni rafiki yangu, lakini kuna urafiki na kuna nchi. Binafsi nadhani sisi bado ni marafiki. Tangu uchaguzi umekwisha tumeshakutana mara nyingi, tumeshapigiana simu mara kadhaa. Tunazungumza, sitaki kuamini kwamba ana nongwa, na hata kama ana nongwa nitamuelewa. Unajua, kama nilivyosema hapo mwanzo, kuna urafiki wangu na Lowassa na kuna nchi'' - Abdulrahmaan Kinana.
Tags
Kweli kabisa mheshimiwa kinana kuna urafiki na nchi na sasa mnaiona nchi...
ReplyDeleteLowassa Ni kada wetu. Anajulikana na Roho yake kiundani PIA bado iko Kyle alippleleka(kwetu) Masilahi yalimpeleka alippfika sasa Lakini amino usiamini ya towe yanamshinda na uzalendo wake unarudi kwa masilahi yake binafsi ameanza kuyaweka nyuma.. Tanzania kwanza..Hapa kazi Tu.
ReplyDelete