Kinana: Lowassa ni Rafiki Yangu Sitaki Kuamini Kama Ana Nongwa na Mimi

''Ni rafiki yangu, lakini kuna urafiki na kuna nchi. Binafsi nadhani sisi bado ni marafiki. Tangu uchaguzi umekwisha tumeshakutana mara nyingi, tumeshapigiana simu mara kadhaa. Tunazungumza, sitaki kuamini kwamba ana nongwa, na hata kama ana nongwa nitamuelewa. Unajua, kama nilivyosema hapo mwanzo, kuna urafiki wangu na Lowassa na kuna nchi'' - Abdulrahmaan Kinana.
Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kweli kabisa mheshimiwa kinana kuna urafiki na nchi na sasa mnaiona nchi...

    ReplyDelete
  2. Lowassa Ni kada wetu. Anajulikana na Roho yake kiundani PIA bado iko Kyle alippleleka(kwetu) Masilahi yalimpeleka alippfika sasa Lakini amino usiamini ya towe yanamshinda na uzalendo wake unarudi kwa masilahi yake binafsi ameanza kuyaweka nyuma.. Tanzania kwanza..Hapa kazi Tu.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad