Kinara wa Matusi Instagram Akamatwa na Polisi Baada ya Kutoa Matusi Makubwa Kuhusu Perfume Mpya ya Diamond

Kijana mmoja ambaye anatumia jina la Shilolekiuno_official Huko Instagram  hatimae amekamatwa na jeshi la polisi kwa kutukana na kukashifu watu mbali mbali mtandaoni, kijana huyo amekuwa akiandika matusi mazito na kukashifu watu mbalimbali akiwemo Mwanamuziki Diamond,

 Jana Baada ya Diamond Kutangaza Kuleta Perfume mpya zenye jina lake sokoni, mtu huyo anayetumua jina la @shilolekiuno_officail aliingia mtandaoni na kuandika matusi makubwa ambayo siwezi kuyaweka hapa kuhusu Perfume hiyo ya Diamond

Meneja wa Diamond Ameandika Haya:


Lemutuz Naye Ameandika Haya:

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. nawanaomtukana kiba pia muwakaMATE

    ReplyDelete
    Replies
    1. kAMA UNAUSHAHIDI PELEKA POLISI

      Delete
  2. Sasa bado yule kidosho Mange Kimavi, dawa yake imeshachemka, inasubiriwa ipoe,atainywa mwenyewe.........shikamoo kamanda Siro, kweli wewe-sio-mtu-wa-mchezo-mchezo.......HAM-SHINDWIII!!

    ReplyDelete
  3. Mange Kimavi he he he umempatia jina zuri

    ReplyDelete
  4. na kijiwe mshenzi je atakamatwa lini jamani

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad