Kulikoni Ikulu, Serikali na CCM Wanachelewa Kutoa Majibu ya Tuhuma za Msingi Kama Hizi?

Ndugu wapendwa, kumezuka tuhuma nyingi wiki iliyopita...kwanza ilikuwa ya mhe. Mbowe bungeni, ya wabubge hupewa ten M, akanyamazishwa.

Tukasubiri tamko la chama tawala kimya, serikalini kimya, ikulu kwa rais kimya hadi leo.

Pili ishu ya kagera hakuna ufafanuzi wa maana hadi sasa tunaumizana na maswali wenyewe but serikali ipo kwa nini isije na majibu na kuondoa huu kma ni upotoshwaji wa habari kama watu wanavyodai.

Serikali hii haijawah kuwa na kigugumizi kwa swala lolote, kuna tatizo gani la mawasiliano kujibu hizi hoja, kwenye Chama Ole sendeka kimya, serikalini (waziri mkuu) kimya, ikulu (rais) wetu kimya nani wa kutupa majibu sahihi?
Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Nakumbuka walijibiwa kuwa mbona wao kila mwezi wanchangishwa zaidi ya mil 1, na hakuna anayesema? hata wao hakujibu kama kwli wanachangishana katika moves zao. Huyo aliyeleta suala hili alitakiwa alimalize kwa kuwakilisha ushahidi wa tuhuma husika, kama hana inabaki kuwa porojo na ndiyo maana hakuna kiongozi yoyote toka kijani atalizungumzia kwani ni kupoteza wakati. Kuna mambo mengi kuhusiana na ahadi za mhe, rais kwa umma wa watanzania hivyo wao siyo clever kiasi hicho kuwatoa kwenye main issue na kuwa-trap kwenye porojo, huu siyo wakati wake wakti huo umepita.Ni maoni yangu wajameni.

    ReplyDelete
  2. Mdau sawa sawa. Tuna mambo muhimu zaidi ya kuangalia na kushughulikia. Na tumejipanga kwa hayo. Ya kupoteza wakati. Samahani muda huo haujawadia katika kipindi cha awamu yetu. Uchelewrshaji hatuutaki na wala hatuuvumilii. Hapa kazi tu

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad