Kundi la Kigaidi la ISIS Lapiga Marufuku Uvaaji was Chupi na Boxers Kwa Wanaume

Kile kikundi cha kigaidi kijulikanacho na kuogopwa kwa ukatili wa kutisha hili kuleta hofu kimeenda hatua zaidi mbele kwa kuweka sheria kali.

Wahuni hao Wamepiga marufuku uvaaji wa boxer na Chupi kwa wanaume kwasabab ni kimagharibi badala yake unatakiwa uvae bukta ndefu inayovuka magotini ama kitambaa unachojifunga kiunoni kama taulo. Na ukibainika kuvaa hivyo hatua kali itachukuliwa dhidi yako.

Wanajeshi wa Iraq na Kurd walishangaa kukuta mabandiko hayo yanayokataza uvaaji wa Chupi na Boxers walipoukomboa mji wa Hammam Al Allil kusini mwa Mosul dhidi yao.

Pia ISIS imepiga marufuku kunyoa ndevu, kusikiliza mziki na kuvaa jeans zilizobana.
Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kama unajua kiarabu bango halisemi hivyo linaelekeza kwenye kuvaa nguo hizo pekee yaani chupi plain au boxer au kaptula isiyovuka magoti ni makosa kisheria,tafsiri isiyovuka rasmi "uchi wa muislamu meantime unaanzia kitovuni mpk magotini" hivyo nguo utakayovaa isitiri eneo lote tangu kitovuni hadi magotini, ndo maana waweza kuvaa suruali ndefu inayofunika kitovuni had chn lakini isiburuze chini pia waweza kuvaa kikoi tu unakuwa kisheria umestirika, boxer na chupi sikuwa ndani ruksa, nawasilisha.

    ReplyDelete
  2. Udaku special saa nyingine musitafsiri uongo munazidisha Fitina.au ndio lengo lenu.hususan kuhusu mambo ya Dini.

    ReplyDelete
  3. hizo chupi na boxer si ndo zinavaliwa ndani ya hiyo kaptula na hicho kitambaa. au hivyo vinavaliwa bila kitu kingine ndani? ?

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad