Maneno ya Diamond Platnumz baada ya Ushindi wa Tuzo za Afrima2016

Tuzo za All African Music Awards (AFRIMA) Zimefanyika jijini Lagos nchini Nigeria usiku wa kuamkia leo na Diamond Platnumz Star wa single ya Kidogo yenye collabo na Mastaa wa P Sqaure, ameibuka mshindi wa jumla ya tuzo tatu, akiwa anaongoza kwenye list za washindi wote.

Leo November 7, 2016 Diamond Platnumz amepost kwenye page yake ya Instagram akiwashukuru mashabiki na wote waliompigia kura zilizomfanya kushinda tuzo tatu.


Hii ni post ya Diamond Platnumz maalumu kwa watanzania na mashabiki wake duniani nzima.


diamondplatnumz
Jus wanted to thank you and let you know that your favorite artist won 3 Awards last night on @afrimawards Nigeria.... SONG OF THE YEAR - UTANIPENDA
EAST AFRICAN ARTIST OF THE YEAR & BEST AFRO POP ARTIST.... Thank you so much for your Votes🙏
(Ningependa niwashukuru na niwajuze Kuwa kipenzi chenu jana nimeshinda tuzo tatu...NYIMBO BORA YA MWAKA AFRICA- #UTANIPENDA MSANII BORA WA AFRO POP AFRICA na MSANII BORA WA AFRICA MASHARIKI...shukran sana sana kwa Kura zenu🙏)

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. atahonga mpaka afirisike kwa kutaka sifa za kujiona yuko juu.

    ReplyDelete
  2. You deserve it keep it up

    ReplyDelete
  3. watz wameshamchoka, hakuna kelele wala hongera. fix zake zishajulikana.

    ReplyDelete
  4. MBONA HAKUNA MASHAMSHAM KAMA ZAMANI WATU WAMESHASTUKIA ISSUE NN.

    ReplyDelete
  5. Safari hii Diamond hajasahau kwenda kwa mganga wake wa kienyeji

    ReplyDelete
  6. kashaenda na chupi ya mtu. tena bI Sandra ndo mleta dawa from Kigoma. Domo anajikausha wanamcheka ku moyo!. hata bi Leba hajamsifia sijui mimba inataka kutoka!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kachukuwa Chupi ya mama yako na dada Zako we mshenzi kahonge na wewe upate ya kwako

      Delete
  7. acheni ushamba nyie mnaemponda nyie mmefanya nini?.kwenye ukweli kubalini.

    ReplyDelete
  8. acheni ujinga, kama anahonga kahongeni na nyie mshinde. Hongera Mtanzania.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad