Mange Kimambi na Ndoto yake ya Kugombea Ubunge 2020..Afunguka Haya Pamoja na Kutochukua Uraia wa Marekani


Akijibu hoja ya kwa nini hachukui uraia wa USA,Mange kupitia ukurasa wake wa Instagram alijibu anaogopa kuukana uraia wa Tanzania kwani atapoteza ndoto yake ya kugombea ubunge 2020
Soma Alichoandika Hapa Chini:

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Vitu vyote hivyo kwa nini upo huko America ndio huyo mzungu pole wee mashallah umejaaliwa

    ReplyDelete
  2. such a big losser

    ReplyDelete
  3. Yani huyu demu nilikuwa namuheshimuuuuuuu kumbe ni punguani tu mbwabwaji tu ambaye hana lolote. Kukaaa kote Marekani na kuolewa na huyo mzungu koko uraia ameshindwa kuupata, kusoma ameshindwa, na hata hana elimu yoyote ile ya maana, Kazi hana, kazi yake imebakia kuwakashifu viongozi wa Dini na Serikali kumbe ana agenda ya kugombania Ubunge ambao hata hivyo hawezi kuupata. Ni binadamu gani anaweza kumuamini mtu kama huyo ambaye ni loser tu. Hana lolote lile. Kazi kujishaua tu na kujifanya mjuaaaaaajiiiiii kumbe hana lolote lile. Sijui kukaa kote hapo Marekani kumemsaidia nini na kama atakuja kugombania Ubunge hapa Tanzania wakati hana elimu yoyote ya maana katika maisha yake zaidi ya kuwatukana akina Dada wanaojishughulisha na maisha yao. Duh kwa kweli huyo Mwanamke ni loser kwa kiasi kikubwa sana na anawaibisha wanawake wengine wa Kitanzania wanaoishi huko Nchi za watu.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Just-for-your-information, kwa sasa hana mume wala nene, yule 'muzungu' alisha-mpiga chini kitamboo, mwanamke gani kutwa kushinda insta,anashadadia hata yasiyo-muhusu, mpaka anakodishwa kuchamba watu, mwanaume kachoka kula vyakula vya makoponi......hahaha....kumpata mume ni kazi nyepesi, ila kumtuliza-udumu-naye ndio 'ngondo' a.k.a. kasheshe. Kuhusu ubunge mmmh! kwanza kupitia chama gani? Mwaka jana alijaribu viti-maalum kupitia CCM 'akapigwa-chini'.....labda apitie UKAWA maana wao ndio 'ZOA-ZOA'.........

      Delete
  4. Uongo mwingine bwana, Mange ni muongo sana na anapenda kujisifia na kukuza mambo, anyway hata mm ni mtanzania na nipo marekani na ni raia seriously mange kimambi atagombea ubunge tanzania nani ampe? Watakaompa nao vichaa. Kashindwa kuinvest america at a invest tanzania, yy anategemea alale na wazungu tu ndo aweze kula,she makes her life laying on her back.bora a endeleeni na na kuuza puchi tu.anyway wanawake wengi wa kipare wanatumia milli yao kupata wanachotaka, na kichwani ni zero

    ReplyDelete
  5. atakuwa mbunge wa machizi wenzake uko insta

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad