Mdau miaka 10?? yote hiyo ndoa zenyewe hizi za mwendo kazi mpe 5 tu, halafu aje hapa arudie hayo maneno wakati mwingine kabla hujaongea fikiria mara mbili si kila kitu cha kuongea
Uzoefu katika maisha ni hazina sana, lugha ya mtu tu unamjua alivyo na nia yake. Kwa usanii wake na alivyosema nahisi tayari kuna something wrong or is going wrong.Miaka mitano ni mingi kwa 4G.
Sawa mzee ya kwako tumeyasikia, na Monica je, akiwaona wakaka wengine anawaonaje? Weka akiba ya maneno bro......moyo wa mtu kichaka.....hamkawii kumsingizia shetani amewapitia...yetu macho na masikia......
Rudia tena kuyatamka maneno hayo baada ya miaka 10 kuanzia sasa
ReplyDeleteaache usengerema na akimuona mama yake anamuona kama nani?baba yake?
ReplyDeleteMdau miaka 10?? yote hiyo ndoa zenyewe hizi za mwendo kazi mpe 5 tu, halafu aje hapa arudie hayo maneno wakati mwingine kabla hujaongea fikiria mara mbili si kila kitu cha kuongea
ReplyDeleteZingatieni kuwa huyo ni mtu wa vichekesho, inawezekana alikusudia kuchekesha watu tu kwa maneno hayo
Deletehujakua masanja
DeleteNacc tunamuona kama msichana
ReplyDeleteUzoefu katika maisha ni hazina sana, lugha ya mtu tu unamjua alivyo na nia yake. Kwa usanii wake na alivyosema nahisi tayari kuna something wrong or is going wrong.Miaka mitano ni mingi kwa 4G.
ReplyDeleteBe carefully Massanja,hata Mbasha ilikua hivo
ReplyDeleteHio ni wivu. Kwa sasa
ReplyDeleteSawa mzee ya kwako tumeyasikia, na Monica je, akiwaona wakaka wengine anawaonaje? Weka akiba ya maneno bro......moyo wa mtu kichaka.....hamkawii kumsingizia shetani amewapitia...yetu macho na masikia......
ReplyDeletebaada ya muda na huyo mke wako utamuona kama mwanaume
ReplyDelete