Masanja Mkandamizaji Adai Anampenda Monica Mpaka Wanawake Wengine Anawaona ni Wavulana

Mchekeshaji Masanja Mkandamizaji amefunguka ya moyoni kuhusu mkewe wake na kuandika yafuatayo.....


Post a Comment

11 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Rudia tena kuyatamka maneno hayo baada ya miaka 10 kuanzia sasa

    ReplyDelete
  2. aache usengerema na akimuona mama yake anamuona kama nani?baba yake?

    ReplyDelete
  3. Mdau miaka 10?? yote hiyo ndoa zenyewe hizi za mwendo kazi mpe 5 tu, halafu aje hapa arudie hayo maneno wakati mwingine kabla hujaongea fikiria mara mbili si kila kitu cha kuongea

    ReplyDelete
    Replies
    1. Zingatieni kuwa huyo ni mtu wa vichekesho, inawezekana alikusudia kuchekesha watu tu kwa maneno hayo

      Delete
    2. hujakua masanja

      Delete
  4. Nacc tunamuona kama msichana

    ReplyDelete
  5. Uzoefu katika maisha ni hazina sana, lugha ya mtu tu unamjua alivyo na nia yake. Kwa usanii wake na alivyosema nahisi tayari kuna something wrong or is going wrong.Miaka mitano ni mingi kwa 4G.

    ReplyDelete
  6. Be carefully Massanja,hata Mbasha ilikua hivo

    ReplyDelete
  7. Sawa mzee ya kwako tumeyasikia, na Monica je, akiwaona wakaka wengine anawaonaje? Weka akiba ya maneno bro......moyo wa mtu kichaka.....hamkawii kumsingizia shetani amewapitia...yetu macho na masikia......

    ReplyDelete
  8. baada ya muda na huyo mke wako utamuona kama mwanaume

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad