Michirizi Inayoonekana Kwenye Miili ya Akina Dada Inaashiria Nini?

Hivi Ile michirizi inayoonekana kwa baadhi ya kinadada nyuma ya goti wakiwa wamevaa sketi fupi huwa ni ishara ya utamu wao kama Mwana FA alivyoimba  "Michirizi ya utamu nyuma ya goti mimi hoi na moyo hai sio toi "  au ugonjwa wa ngozi?


Tags

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hiyo michirizi nyuma ya magoti ya wanawake ni kichefuchefu kitupu mpaka basi tena.

    ReplyDelete
  2. MAUNENE YALIOPITILIZA

    ReplyDelete
  3. Michirizi huashiria kuongezeka kwa mwili katika sehemu husika----huweza tokea mapajani,kiunoni,miguuni, kwenye maziwa, na kadhalika. Tatizo ni kwamba akili zetu tumezielekekeza kwenye NGONO TU

    ReplyDelete
  4. Jamani mbona hatustarabiki sioni sababu ya watu kusema it kichefuchefu kitupu au Whatta rubbish is that? unajuwa hii kapewa na mungu na labda ina maana yake lakini kusema hivyo unataka ibishana na mungu? msikufuru.

    ReplyDelete
  5. Hutokea zaidi kama mwili hauna protein ya kutosha wakati mwili unaongezeka unene kwa hiyo ngozi inajitanua

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad