Ujauzito wa Mwigizaji Nisha Bebee umezidi kuzua sinto fahamu kutokana na vichambo anavyopost mtandaoni kwenda kwa Muhusika wa Ujauzito huo..leo tena amepost akimtolea uvivu kama ifuatavyo:
"Watu wanasema nimepewa mimba na kutelekezwa, guyz kuna tofauti kati ya kutelekezwa na kutotaka mtoto wako amjue baba ake.
Since nimeamua kuwa wazi wananipigia kama machizi.. NASEMA HIVI SUBIRINI DNA ZA MACHO naanzaje kumtambulisha mwanangu kwa baba namnunulia hadi sabuni ya kufulia boxer mwanaume mzima unaolewa na demu.. star ushuzi star jina pesa hana mfukoni tena koma kutuma marafiki zangu.. tena moods zangu za sasa hivi sizo nichokonoe nikupost unazopiga vizinga hela za maandalizi ya show xiiew.. I'M DONE" Nisha
Sasa kama hana hela ilikuwaje mkapeana hadi mimba...jamn wakat mnafnyana si mlikuwa na dunia ya siri hebu msitirin huyu kiumbe ambae bado hajazaliwa khaaa
ReplyDeletewakati anakupa mimba ulikuwa hujui hayo yote!!!!!
ReplyDeleteJamani si Bahati mbaya kaikwaa! Fesheni sasa hivi ni bongo movie vis Bongo fleva.. Poa Nisha Bebe. Ikibidi anapeleka posa nyumbani ili achukue JUmla. BUY ONE TAKE TWO... Ni PLOMOSHENI. BEI POA
ReplyDeleteWhere is that thing called teue love?Hii ni dunia nyingine siyo ile ya zamani ya mwanamke kumtegemea mwanaume mambo yakimyookea mwanamke kimaisha na kumsaidia mumewe au mpenzi wake wa kiume basi kila mtu atajua kuumbuana kwa sana but why is that?
ReplyDeleteHivi kashfa zote hizo na povu linalokutoka ni baada ya huyo 'bwana' kuikataa hiyo mimba, ama nene!! Kumbe ulikuwa unamhudumia kila kitu ili akupe 'raha-za-dunia', hata ndururu hana, kwanini hukutumia 'salama' kama hukutaka kuzaa naye? Ushukuru kakupachika mimba, angekupachika UKIMWI, ungetangaza? Unaleta comedy mpaka kitandani......we vepe bana, hebu TULIA UZAE.....
ReplyDeletedu mbishi umeongea...ebu tulia uzae...aaahahahaaaaaaa
DeleteMuda wote huo mpaka upate ujauzito ulikuwa hujui kuwa hanazo uyoo au pia labda una matumizi mabaya ndiyo maana wanaume wanasepa yaani kuanzia mkorogo tu huo tu kabla vitu vingine ni bei mbaya sana na mdau hapo juu kasema ukweli kabisa ikitokea mwanamke mambo yakimnyookea huwa anamuumbua na kumnyanyasa mwanaume ilinitokea mimi nilipata kazi nzuri na mshahara mzuri mwanaume niöikuwa akawa hela zake anazibania anatumia za kwangu akitaka bia ananipmba mimi nimpe hela wakati hela anazo nikikataa kumpa hela ndiyo aanachomoa hela yake mfukoni nilimchoka nikaanza kumnyanyasa baadaye nilimuacha kabisa sababu sitaki kutumiwa na mwanaume
ReplyDelete