Mkenya Aibuka Mshindi wa Maisha Plus

Olivie Kiarie wa Kenya ameibuka mshindi wa shindano la Maisha Plus. Fainali za shindano hilo zilifanyika mwishoni mwa wiki.

Ushindi huo umempa Olive kitita cha shilingi milioni 30 za Kitanzania.

Shindano la Maisha Plus lilishirikisha nchi za Afrika Mashariki.
Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mambo mengine bwana yanatakiwa yawe ni ya watoto wa nyumbani sasa unapotoa chakula chako unawapa wageni wakati nyumbani kuna njaa!! haingii akilini hata kidogo!!! Huko ni kutaka sifa!! nilikuwa naona matangazo ya bahati nasibu ya nchi za nje wanaweka wazi kabisa hii ni kwa ajili wa watanzania tu(mfano).

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad