Mwanamuziki Nuh Mziwanda Akata Shauri...Amuoa Msichana Huyu Kimya Kimya

Mkali wa wimbo Jike Shupa, Nuh Mziwanda ameingia kwenye list ya mastaa wa bongofleva waliofunga ndoa mwaka 2016 baada ya kufunga ndoa na mpenzi wake wa muda mrefu aitwae

Muimbaji huyo ambaye zamani alikuwa anatoka kimapenzi na Shilole amefunga ndoa kimya kimya huku akijiandaa kwa ajili ya kufanya sherehe kubwa.

Mastaa wengine waliofunga ndoa hivi karibuni ni pamoja na Nyandu Tozzy, Tunda Man, Mabeste pamoja na wengine wengi.

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Huyu ndio mnaendana,HONGERA SANA.

    ReplyDelete
  2. Nuhu si mkristo mbona kavaa kama muislam au kabadili dini.

    ReplyDelete
  3. picha za alivyofunga ndoa plsssss. maana mmoja muilam mwingine mkristo au mambo ya mahakama!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad