MALAWI: Mwanaume Eric Aniva, aliyeshiriki ngono na wanawake tofauti 104 akitekeleza mila huku akijua ameathirika na UKIMWI, amehukumiwa kifungo cha miaka 2 jela.
Amepatikana na hatia ya kutekeleza mila zenye madhara chini ya sheria za jinai za taifa hilo
Wanawake wawili wajane waliotoa ushahidi mahakamani walisema walilazimishwa kufanya mapenzi na mtu huyo ili kutakasa roho za waume zao ambao walishafariki.
KISWAHILI NI LUGHA YETU LAKINI NI MGUMU KWELI SASA HAPO JUU"HAIKUMIWA"UNAMAANISHA"AHUKUMIWA"AU?MAKOSA HAYO YAPO KILA SIKU KATIKA MAGAZETI YENU HALAFU MNAICHUKULIA POA TU WAKATI MNAIPITOSHA JAMII NA KISWAHILI CHENU KIBOVU KAMA BADO WANGEKUWEPO WALE WAHAKIKI WAKUU WA KISWAHILI AKINA MZEE SHABAN ROBERT NA WENGINEO WALIOJARIBU KWA HALI NA MALI KUKIKUZA KUKITANGAZA NA KUKIHAKIKI KISWAHILI WALLAH WANGELIA MACHOZI JINSI HIKI KISWAHILI KINAVYOBORONGWA BORONGWA ILI MRADI TU JISAHIHISHENI MNAUDHI KWELI KWELI AU NYINYI SIYO WATANZANIA HALISI MMEBINJUKA TOKA NCHI ZA JIRANI NA KUJIFANYA NYINYI NI WATANZANIA?ACHA POVU LINITOKE KUDADEKI
ReplyDeleteatakuwa mkongo huyo huyo aliyeandika haikumiwa au atakuwa mbongo aliyekunywa tila lila ndiyo kaandika, na hata hivyo kuhukumiwa jela miaka miwili tu haitoshi huyo atatoka jela baada ya miaka miwili na ataendelea na kazi yake hiyo
ReplyDelete